Wednesday, February 5, 2014

PROMOTION YA TIGO YAFIKIA PATAMU,TIZAMA DADA ALIYEJINYAKULIA MILLION KUMI MUDA HUU.NA WEWE SHIRIKI

MRATIBU WA PROMOTION HIYO BI MARY RUTTA  AKIMKABIDHI BI GERMINA SHAYO ZAWADI YAKE YA HUNDI YA MILLION KUMI BAADA YA KUIBUKA MSHINDI KATIKA PROMOTION HIYO


         Ikiwa imebaki wiki moja tuu kabla ya kumalizika kwa promoshen yatigo ya CHEZA KWA FURAHA UNAPOSHINDA KITITA NA TIGO PESA kampuni ya tigo leo imewatajirisha tena watanzania wengine kwa kuwapatia kiasi cha shilingi million 10 walizoshinda katika promomotion hiyo ambayo hadi sasa wateja wapatao 2,335 wamenufaika na mchezo huo

        Akizungungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam mratibu wa promotion hiyo bi MARY RUTTA amesema kuwa aina ya zawadi zitolewazo katika promotion hiyo  ni shilling million 200,000kwa wateja 50 na million mbili kwa wateja 20 kila wiki na zawadi ya juu kabisa ni shilingi million kumi wanayoshinda wateja watano kila baada ya wiki mbili.

       Bi RUTTA aliitumia nafasi hiyo kuwakabidhi wateja wawili zawadi zao ambapo katika washindi wa wiki hii mshindi wa million kumi ni bi GERMINA SHAYO na mshindi wa million mbili ni MARIAM SAWAYA.
Akizungumza na wanahabari jijijni dar baada ya kushinda million kumi bi GERMINA SHAYO amesema kuwa maishya ndani ya tigo yamekuwa mazuri kupita maelezo na anawashukuru sana tigo kwa kumfanikishia mipango yake na kuwashauri wateja wa tigo kuendelea kushiriki katika promotion hiyo kwani wanaweza wakaibuka washindi


NI FURAHA MTINDO MMOJAA

No comments: