KAMPUNI MPYA YA SIMU YAZINDULIWA MUDA HUU JIJINI DAR ES SALAAM--CHUKUA MUDA WAKO KUTIZAMA PICHA ZA TUKIO NZIMA HAPA

Abdallatit bouzian mkurugeni mkuu wa kampuni hiyo akizungumza katika warsa ya kuzindua rasmi mtando huo ambao ni mpya kabisa wa simu za mkononi unaojulikana kama SMART ambapo amesema kuwa wamejipanga kiutendaji kupambana na mitandao mingine tanzania na africa mashariki na kati

kampuni mpya kabisa ya kutoa huduma za simu tanzania SMART imezinduliwa leo jijini dar es salaam ambapo mtandao huo utakuwa ukitoa huduma zake katika nchi zote za africa mashariki kwa bei nafuu,hizi ndio picha za tukio nzima la leo

Msanii maarufu wa sanaa za vichekesho tanzania ambaye ndiye aliyekuwa balozi wa mtandao huo katika kuhakikisha inapata jina lake MKWERE akiwa katika hafla hiyo fupi ambayo imefanyika jijini dar es salaam muda huu


kijana ambaye baba yake mzazi ndiye aliyependekeza jina la SMART akimchukulia baba yake mzazi zawadi yake ya  ushindi

Baadhi ya washindi walioshinda katika mchakato wa kutafuta jina la kampuni hiyo wakiwa na wakuu wa mtandao huo katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa mtandao huo

Tumejipanga kuwapa wana africa mashariki huduma bora za simu

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.