KINANA NA MAMA SALMA WAZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE KWA KISHINDO

1
Katibu wa ccm adrahaman kinana akimnadi mgombea wa ubunge ridhiwan kikwete leo
8
mke wa raisi mama salma kikwete ambae ndie ma a mzazi wa mgombea wa ubunge wa jimbo la chalinze ridhiwan kikwete akimnadi mwanae leo
6
Imani madega alikuwa moja kato ya wle waliokuwa wanagombea kupata nafasi ya kugombea ubunge jimboni  challinze leo aliijitokeza kumnadi ridhiwan kikwete
5
imani madega na ridhian kikwete wakipongezana
3
ridhiwan akimwaga sera mbele ya maelfu ya wanachalinze
2
Kinana ambaye ni katibu mkuu wa ccma akimpigiua kampeni mgombea wa jimo la chalinze ridhiwan kikwete huko chalinze leo

9        Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka akiwahutubia wananchi wa Chalinze wakati wa mkutano huo.4         Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akimsikiliza mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega mara baada ya kumuombea kura Rihiwani Kikwete, katikati ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck SadikK

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.