Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWZ---BOMU ARUSHA TENA

            BREAKING NEWS: Watu 12 wamejeruhiwa baada ya mlipuko wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu, kutokea katika bar ya Arusha night park, walipokuwa wakiangalia mpira usiku huu. Uchunguzi unaendelea

No comments: