Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWZZ---AZAM NDIYE BINGWA MPYA WA LIGI KUU TANZANIA BARA.HONGERENI SANA

Timu ya azam fc ya ligi kuu tanzania bara leo hii muda huu imejitangaza kuwa bingwa mpya wa ligi kuu ya tanzania bara baada ya kuichapa bila huruma timu ya mbeya city magoli mawili kwa moja magoli yaliyofungwa na mwaikimba na john boko huku goli moja la mbeya city likifungwa na mwagame yeya.kwa matokeo hayo hakuna timi ambayo inaweza kuifikia azam tena hata kama itafungwa mchezo wake wa mwisho,


No comments: