Friday, May 9, 2014

LIVEE---WANAFUNZI WA IFM MUDA HUU WANAMTAFUTA MREMBO WA CHUO CHAO--MISS IFM LIVE CHEKI PICHA KADHAA

Hii ndio stage ambayo itatu,ika kumpata mrembo huyo usiku huu

Wanafunzi mbalimbali wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya shindalo hilo usiku huu
Wanafunzi wa IFM wakiwa ndani ya ukumbi muda huu wakijiandaa kwa ajili ya kumtafuta mrembo wao

K--MONDO band wanatoa burudani muda huu
warembo wa IFM wakiwa katika ukumbi wa golden jubelee usiku huu kwa ajili ya shindano la miss IFM


No comments: