Monday, May 19, 2014

picha--MWILI WA ADAM KUAMBIANA SASA UMETOLEWA MOCHWARI UNAPELEKWA NYUMBANI

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa ndani ya gari la kubebea maiti baada ya kuchukuliwa moshwari Muhimbili, unapelekwa nyumbani kwake, Bunju, Dar ambako utalala huko kabla ya kuagwa Viwanja vya Leaders na kuzikwa Kinondoni, kesho.

 Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.

 Waombolezaji wakilia kwa uchungu, mmoja akiwa amedondoka baada ya mwili wa Kuambiana kuwekwa kwenye gari la kubebea maiti nje ya moshwari Muhimbili Dar.

No comments: