.

TANZIA---PUMZIKA KWA AMANI MZEE MAX,MPIGA PICHA WA MLIMANI TV

HABARI AMBAZO MTANDAO HUU UMEZIPATA NI KUWA MPIGA PICHA MKONGWE WA MLIMAN TV RAFIKI YETU MZEE MAX AMEFARIKI DUNIA LEO IJUMAA KWA MARADHI YA PRESHA,MTANDAO HUU TUNAUNGANA NA WAFANYAKAZI WENZAKE WA MLIMANI TV PAMOJA NA WANAHABARI WOTE TANZANIA KUMWOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU APUMZIKE KWA AMANI.PICHANI HAPO NI MZEE MAX AKIWA KAZINI ENZI ZA UHAI WAKE

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.