Mgommbea urais wa simba bw EVANCE AVEVA leo akihitimisha kampeni zake jijini dar es salaam ambapo amewaahidi mambo makubwa sana wana simba kuhakikisha simba inakuja katika ujio mwingine tena,ikiwa ni pamoja na kuwahakikishia wana simba kuwa watapata uwanja wao wenyewe wa kisasa kwa muda mfupi sana.pamoja na kuahidi kuifanya simba kuwa timu ya kimataifa tofauti na sasa |
No comments:
Post a Comment