Wednesday, August 20, 2014

breaking newzz--HAYA NDIO MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CCM JUU YA BUNGE LA KATIBA

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM chini ya Mwenyekiti wake Dkt Jakaya Kikwete, yabariki mchakato wa Katiba mpya na kusema kuwa inaridhishwa na mwenendo wa mchakato ndani na nje ya Bunge Maalum na imetaka vikao vya Bunge viendelee baada ya kupokea taarifa kuhusu Bunge hilo na kuwataka UKAWA kurudi Bungeni.

No comments: