Friday, September 5, 2014

MWENDELEZO--MUONEKANO BAADA YA AJALI WA MABASI YALIYOGONGANA USO KWA USO HUKO MUSOMA MARA ZAIDI YA 40 WAMEFARIKI HADI SASA

Mabasi hayo yenye yakiwa yamegongana. Basi moja ni la kampuni ya J4 Express likiwa na namba za usajili T677 CYC na jingine ni la kampuni ya Mwanza Coach likiwa na namba za usajili T376 AWJ.

Sehemu ya mbele ya moja ya basi ikiwa imeharibika vibaya.
Sehemu ya mbele ya moja ya mabasi hayo ikiwa imeharibika vibaya.
Baadhi ya mashuhuda wakishuhudua ajali hiyo iliyotea Mbeya na kuua watu 25 papo hapo leo.
Baadhi ya mashuhuda wakishuhudua ajali hiyo iliyotokea neo la Sabasaba mkoani Musoma na kuua watu zaidi 30 papo hapo leo mchana.
atu wakiangalia moja ya basi lililogongana na basi jingine na kusababisha vifo vya makumi ya watu.

Baadhi ya waokoaji waliofika kwenye eneo la ajali hiyo.

Askari wa usalama nawa raia wakijadiliana jambo.
Askari wa usalama na wa raia wakiwa katika eneo hilo.
Uokoaji mwingine ukiendelea, ni baada ya gari aina ya  Nissan Torano kusukumwa na moja ya mabasi hayo na kuzama mtoni.

Askari akiingia ndani ya gari hiyo kuangalia miili ya watu wawili waliokuwa humo ndani.

Mizigo ya abiria ikiwa imewekwa nje baada ya kutolewa kwenye mabasi hayo.

No comments: