.

UCHAGUZI CHADEMA MOTO--MPINZANI WA MBOWE AJITOA

Wakati akirudisha form
Hamkani hali si shwari ndani ya Chadema! Kansa Mohamed Mbaruku, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Tabora, amejitoa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho taifa.

Bado sababu halisi ya kujitoa kwake hazijafahamika ila Kwa mujibu wa 'Mwananchi Breaking News', Mbaruku ameamua kujitoa kwa madai kwamba katiba ya chama hicho imekiukwa na akasema atakwenda kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kupinga uchaguzi huo na kuomba ufafanuzi wa kikomo cha uongozi.

Mbaruku amejitoa siku moja tu baada kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti na makamu wake, ambao umepangwa kufanyika leo Jumapili Septemba 14.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.