Thursday, November 6, 2014

BAD NEWZ--TRENI YAGONGA BASI LA ABIRIA MUDA HUU,12 WAFA HAPO HAPO

Juu
HABARI ZA HIVI PUNDE:
Watu 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine 45 wamejeruhiwa katika ajali ya basi mali ya kampuni ya al Jabir ambalo limegongwa na Treni ya Tazara katika eneo la Kiberege, Morogoro.pole kwa wote waliohusika,tutakuletea habari kamili pindi tutakapozipata

No comments: