Friday, November 14, 2014

PICHA YA SIKU--MREMA TENA HUKO VUNJO

PICHA HII NIMETUMIWA NA MAELEZO HAYA HAPA MDAU WANGU,--Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania Bw.Augustino Mrema (aliyeketi kwenye stuli) akikaribishwa na mpambe wake ili aweze kuhutubia wananchi wake wa Vunjo.. Mkutano huo uliofanyika eneo la Chekereni

Post a Comment