Sunday, November 9, 2014

MBOWE NI ANGA KWA ANGA,TIZAMA ALICHOKIFANYA KWENYE JIMBO LA SAMWELI SITTA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Urambo, katika mkutano
wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Extended
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman
Mbowe akiwasili kwenye Uwanja wa Extended mjini Urambo, ambako
alihutubia mkutano wa hadhara ikiwa ni sehemu ya Oparesheni Delete CCM

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Patrobaz Katambi,
akiwahutubia wananchi wa mji wa Urambo mkoani Tabora, katika mkutano
wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Extended

No comments: