Sunday, November 9, 2014

PICHA NANE--TASWIRA HALISI MKUTANO WA ACT,CHAMA KIPYA TEMEKE MWEMBE YANGA LEO

Katibu wa jimbo la temeke chama kipya cha ACT akihutubia katika uwanja wa mwembe yanga jioni ya leo katika mkutano wa kwanza wa chama hicho kipya kabisa katika siasa za tanzania ambapo ni mkutano wake wqa kwanza katika jiji la dar es salaam,mkutano uliomalizika muda mfupi uliopita hapa temeke jijini dar es salaam
Wananachi waliojitokeza kisikiliza sera za cha hicho kipya
Burudani ilikuwepo
Mwenyekiti wa cham,a hicho kipya cha ACT bwana KADAWI LIMBU akiwahutubia wakazi na wafuasi wa chama hicho jijini Dar es salaam katika mkutano wake uliofanyika jioni ya leo,pamoja na mambo mengine chama hicho kimetangaza kushiriki katika chaguzi zote zijazo kikianza na chaguzi za serikali za mitaa zinazotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu
Aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA zanzibar bwana HAMAD YUSUPH akikabidhiwa rasm,i kadi ya chama hicho kipya baada ya kutangaza kukihama chama chake cha zamani na kuhamia ACT

No comments: