NBC YAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE

Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Muhimbili, Fatma Gulamsood (kulia) akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Weka Upewe ya benki hiyo, Stella Kivuyo katika hafla ya mabidhiano iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye akikabidhi funguo ya bajaji kwa Dk. Nyagosya Range (kushoto), aliyeibuka kidedea katika promosheni inayoendelea ya Weka Upewe ya benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.