.

TIZAMA ALICHOKIFANYA DK SLAA HUKO MOROGORO

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi wa Kijiji cha Ludewa, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro katika mkutano wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ludewa


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.