Wednesday, December 31, 2014

TIZAMA HISTORIA YA ZITTO NA LIPUMBA WALIYOWEKA MTWARA LEO


PROFESA LIPUMBA na ZITTO KABWE WAANDIKA REKODI KTK MKUTANO MKUBWA WA CUF VIWANJA VYA MTWARA MJINI,,,Magwiji ya siasa nchini Prof. Lipumba na Zitto Kabwe na wabunge watano wa CUF wameutikisa mji wa Mtwara kwa umati mkubwa wa watu.
Mkutano huo ambao umetajwa kuweka historia katika mji wa mtwara umeshughudia manguli hao wakizungumzia na kuchambua mambo mbali mbali yanayolikabili taifa kwa sasa hususani sakata la ESCROW. 
HAPA TUNAKUPA BAADHI YA PICHA ZA MKUTANO HUO,NYINGINE ZITAKUJIA BAADAE



No comments: