Tuesday, May 19, 2015

KAMPUNI YA TIGO YATOA MSAADA WA KOMPYUTA HOSPITALI YA SEKOU TOURE JIJINI MWANZA

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akimkabidhi mkuu wa wilaya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga, moja ya kompyuta 25 zilizotolewa msaada na kampuni ya Tigo kwa hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza leo asubuhi

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga akizungumza jambo na Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez, katikati ni Mwenyekeiti wa bodi ya hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza Christopher Mwita Gachuma mara baada ya kukabidhi komputa 25 kwa hospitali hiyo.

Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo jijini Mwanza mara baada ya kutoa msaada wa kompyuta 25 kwa hospitali ya Sekou Toure leo asubuhi

Meneja mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akijadiliana jambo na mwenyekiti wa bodi ya Hospitali ya Sekou Toure Christopher Mwita Gachuma, kati kati ni meneja wa kanda ya ziwa Ally Maswanya

Meneja mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akibadilishana mawazo na mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga.

No comments: