Tuesday, June 16, 2015

DK SLAA AFIKA MSIBANI KWA SHEKH SIMBA MCHANA HUU

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji baada ya swala ya kumsalia Marehemu Mufti Mkuu wa Tanzania Shehe Issa Shabaan Simba iliyofanyika leo Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)

No comments: