Thursday, June 11, 2015

WAZIRI BERNARD MEMBE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA UMAKI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza  wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar mjini Unguja jana. Kulia kwake ni Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa Anglikana, John Ramadhan. Picha na John Badi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kulia), akipata maelezo kuhusu bidhaa za ujasiriamali za  kikundi cha Umoja wa Kinamama wa Kikristo (UMAKI) wa Kanisa Angikana Dayosisi ya Zanzibar, kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Nne wa UMAKI mjini Unguja jana. Picha na John Badi


No comments: