CCM leo walivyoitikisa zanzibar,ni uzinduzi wa kampeni

Rais jakaya Kikwete akimkabidhi irani ya ccm, mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Mohamed Shein, wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za chama hicho uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, mjini Unguja jioni ya leo. Picha na OMR.Picha nyingine za mkutano huo zipo chini


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.