Thursday, September 10, 2015

Picha--Tizama Lowasa Alivyopokelewa leo Mjii Mkuu Dodoma

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda Ukawa,Edward Lowassa amezidi pasua anga ndani ya nchi,
Baada ya leo kutikisa ngome ya CCM mkoani Dodoma na kushuhudiwa na Maelfu ya wakazi wa Mkoa huo kama ambayo  picha zinavyoonyesha.



No comments: