PICHA 10--Lowasa aweka historia DODOMA leo,Tizama hii

Lowasa katika viwanja vya BARAFU dodoma leo ameweka Historia katika mkutano huo kwa umati mkubwa wa watu uliojitokeza kumlaki na kumsikiliza.

Baada ya mkutano kumalizika wananchi hawakuridhika wakaamua kumsindikiza hadi nyumbani kwake dodoma na umati mkubwa sana uliwasili nyumbani kwake wakifwatana na msafara wake jambo ambalo halikuwahi kutokea kwa mgombea mwingine katika mji huo ambao ni mji mkuu wa TanzaniaAbout HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.