.

Tayari Tanzania Imempata Waziri Mkuu na Naibu Spika,wote kura walizopata ziko hapa

Dr Ackson Tulia Mwansasu ameibuka mshindi wa kiti cha Naibu Spika wa Bunge kwa kupata kura 250 sawa na asilimia 71.2% ya kura zote

Mh. Kassim Majaliwa amethibitishwa na wabunge kuwa Waziri Mkuu mteule kwa kupata kura za ndio 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote 351 zilizopigwa.
Kura za hapana ni kura 91 sawa na asimilia 25.9 ya kura zote, na kura zilizoharibika ni 2.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.