VIDEO-DEUS KIBAMBA ANASEMA SIKU YA MTOTO WA AFRICA IADHIMISHWE TUKITAFAKARI HAKI YA KUANDAMANA NCHINI TANZANIA

Leo Ni siku ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Africa ambapo waafrica wote Tunakumbuka siku ambayo yalitokea mauaji ya watoto zaidi ya mia Tatu,ambapo watoto hao walikuwa katika maandamano nchini Africa ya kusini.

Moja kati ya watu ambao wam,ezungumzia swala hilo ni mwenyekiti wa Jukwaa la katiba nchini Tanzania DEUS KIBAMBA ambaye ameunganisha tukio hilo na harakati za maandamano nchini Tanzania na haki ya kaundamana ambapo ametaka watanzania waikumbuke siku hii huku tukitafakari kwa makini kuhusu haki ya maandamano hapa nchini.
Hii ni Video yake kutoka HABARI24 TV akizungumzia hayo

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.