Picha za mazoezi ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza.

Vijana wa timu hiyo wakiwa hima kupambana uwanjani kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance  wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).


Mshauri wa soka la maendeleo ya vijana, Kim Poulsen (mwenye jezi ya bluu) na rafiki yake, Benny Pedersen wakisimamia mazoezi ya viungo ya timu ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 14 kwenye Viwanja wa Alliance jijini Mwanza. Vijana hao wanaosoma Shule ya Alliance  wanaandaliwa kuwa timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ambako Tanzania itaandaa fainaliza kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.