Mkurugenzi wa LHRC Bi Hellen Kijo Bisimba ashiriki kuaga mwili wa Samweli Sitta Jijini Dar es salaam leo


Mkurugenzi wa kituo cha sheria na Haki za Binadamu nchini Bi Hellen Kijo Bisimba akitoa pole kwa wanafamilia ya Mzee Samweli Sitta akiwemo Mjane Mama Magreth Sitta wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu katika Viwanja vya karemjee Jijini Dar es salaam mapema leo.Mzee Sitta ameagwa leo na kupelekwa Dodoma kwa ajili ya kuagwa na wabunge na baadae kusafirishwa hadi nyumbani kwake Tabora kwa ajili ya maziko.
Mkurugenzi wa kituo cha sheria na Haki za Binadamu nchini Bi Hellen Kijo Bisimba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Samweli Sitta ulioagwa leo Jijini Dar es salaam
 
About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.