LOWASA AMJULIA HALI JAMES MBATIA BAADA YA KUTOKA MATIBABUNI INDIA

Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa amemtembelea Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi na Mbunge wa Vunjo Mh. James Mbatia ambae amerejea hivi karibuni akitokea nchini India alipokwenda kufanyiwa upasuaji wa mguu.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.