.

Mtikisiko---Mbowe,Gwajima,Manji,Iddi azan watajwa na makonda madawa ya kulevya,wapo pia vigogo 60 wapya

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Palu makonda ametaka majina mapya 60 ambayo kwa namna moja ama nyingine yanahusishwa na Madawa ya kulevya Tanzania yakiwemo majina makubwa nchini.

Amesema kuwa majina hayo ni watu ambao wengine wanatumia,wengine wanauza na wengine wana Taarifa nyingi kuhusu uuzwaji wa madawa ya kulevya nchini

Mh Makonda pamoja na mambo mengine amewataka watanzania kutulia kwani Picha ndio linanoga na kama kuna mtanzania anabeza jitihada zake atashangaa atakaposkia Dar es salaam hakuna madawa ya kulevya Tena.
Wafuatao waonane na Makonda pale central polisi ijumaa hii
Orodha ni ndefu ila hawa wamenivutia kuwaandika hapa 
1. Sleep way Mmiliki
2. Yatch club
3. Saleh MMI
4. Mwinyi machapta
5. Rose 
6. Kiboko
7. Halfin
8. Iddi azan
9. Mch gwajima
10. Mbowe
11. Chizenga
12. Masanga
13. Ben mfundo
14. Yusuf manji
Image may contain: one or more people

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.