Wednesday, April 5, 2017

MSANII DYNA NYANGE AIBUKA KIDEDEA TUZO MBILI HUKO NIGERIA USIKU WA LEO

 Leo imekuwa siku yangu ya furaha sana sana sana Na ningependa ni washukuru wotee🙏Mliokesha mkiniombea, mlikesha mkihamasisha, mlikesha mkinipigia kura. Hatimaye tumefanikiwa kutwaa tuzo zote mbili nchini Nigeria. 
BEST VOCAL PERFORMANCE FEMALE
BEST AFRICAN ARTISTE
Ahsanteni sana mashabiki zangu , ahsanteni sana Wadau wangu, ahsanteni sana Media zote, watangazaji, waandishi, na ma dj. Ahsante sana producer wangu Mr.Ttouch, shukrani kwa menejiment yangu na wasanii wenzangu. 
Sote tuliacha kazi na tukafanya kazi moja tu na hatimaye Matunda ni haya.🏆Sijashinda mimi tu @daynanyange bali imeshibda Tanzania na Afrika kwa ujumla
#JuhudiZimezaaMatunda💃🏻
Mungu awabariki sana🙏🙏🙏

No comments: