BURUDANI

DUUUU! AMA KWELI NEY AMFAGILII MTU YEYOTE SIKILIZA ALICHOKISEMA...Ikiwa ni siku moja tangu msanii Diamond aachie ngoma yake mpya ‘Fire’ aliyomshirikisha Tiwa Savage kutoka Nigeria ambayo inazungumzia mapenzi, lakini kwa upande wa Nay ameamua kuwachana baadhi ya watu wakiwemo wasanii na mameneja wa muziki hapa nchini.
Kupitia mtandao wake wa Instagram, msanii huyo awewataja wasanii ambao wanaamini wao wakiondoka katika game ya muziki basi mapengo yao hayawezi kuzibika.
“Eti Pengo Lako alizibiki.?! Siku izi Mapengo yanazibika tu.! Pengo la @kingzilla_tz ni @billnass Nafasi ya @iamrubyafrica Ni @officialnandy,” ameandika Nay kwenye mtandao huo.

About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.