BURUDANI

DYANA NYANGE ANAMILIKI TUZO KIBAO TOKA NJE YA BONGO.

MSANII Dayna Nyanga ambaye aliwahi kufanya vizuri na nyimbo zake kama nivute kwako aliyomshirikisha barnaba boy na ngoma yake mpya ianyofanya freshi kwa sasa ya Komela aliyomshirikisha Billnass amesema yeye ni mmoja wa wasanii maarufu nchini wanaomiliki tuzo kibao.
Akiongea na East African Radio katika kipindi cha Planet Bongo, Dayna  na ngoma yake ya Komela alisema amewahi kushinda tuzo mbili kutoka nchini Nigeria na nyingine kutoka Morogoro, yaani  jumla tuzo tatu.

About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.