Sunday, June 25, 2017

OKWI MESAINI MKATABA RASMI WA KUCHEZEA SIMBA SC.

baada ya kutua kwa mchezaji wa soka toka nchini Uganda kwenye uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere siku ya tarehe 24 mwezi june hatimaye amesaini mkataba rasmi wa kuchezea tena simba sc.


Emanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili (2) kujiunga na Simba kuanzia msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara pamoja na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na michuano ya Afrika (Caf Confederatio Cup).

pia kwenye ukurasa wa twiter wa Mohamed Dewji aliandika hivi "nimefurahi kwamba Emmanuel Okwi umerejea Simba Sc. daima tutasonga mbele".

No comments: