MICHEZO

TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI KATIKA MICHUANO YA SPORT PESA IATAKAYO ANZA JULAI 5 MWAKA HUU KWENYE UWANJA WA UHURU JIJINI DARA ES SALAAMWachezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi  Julay 5 mwaka huu katika uwanja wa  Uhuru  maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa  kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.