BURUDANI

VIDEO MPYA - ALLY NIPISHE WIMBO UNAITWA MUPENZIAlly nipishe ni miongoni mwa wasanii waliopo kwenye muziki kwa muda mrefu kidogo na alishafanya vizuri na vibao vyake kama Wanapepeta, Shikamoo mapenzi na kwa sasa amekuja na wimbo wake mpya unaoitwa Mupenzi video ikiwa imefanywa na Director Hans cana na audio toka hapa hapa Tanzania.
                                       CLICK HAPA KUANGALIA...

About vicent macha

Post a Comment
Powered by Blogger.