TIGO YADHAMINI MAONYESHO YA BIDHAA ZA MIKONO

.Wateja waliohudhuria maonyesho ya kazi za mikono za Kitanzania wakiangalia bidhaa mbalimbali, maonyesho hayo yaliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam, kampuni ya Tigo ilikuwa wadhamini.

Mfanyabiashara wa vifaa vya mapambo ya ndani vyenye asili ya Kitanzania wa duka la Zamani Dhow, Bw. Nordety Cornellius akiwahudumia wateja waliofika bandani kwake wakati wa maonyesho ya bidhaa za mapambo yaliodhaminiwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.