Rais mpya wa Kenya ndiye Rais Tajiri kuliko wote katika Africa:-
1. Anashika Nafasi ya 26 kwa utajiri katika Africa na kushika
Nafasi ya kwanza kwa Marais wa Africa, akiwa
na USD $ 500,000.00
2. Ana Heka 500,000 za Ardhi ambayo ni yake aliyorithi
toka kwa Baba yake, aliyekuwa Rais wa kwanza wa Kenya.
3. Anamiliki Kampuni kubwa ya Maziwa na Nyama kuliko
zote Kenya, Brookside Dairies Inc. pamoja na TV Station
kubwa kuliko zote Kenya ya K24 TV na pia na Bank
kubwa sana Kenya.
No comments:
Post a Comment