Wednesday, May 8, 2013

WANAWAKE TANZANIA WAZINDUA RASMI ILANI YAO YA MADAI YA KATIK A KATIBA MPYA




 


 

 

BAADHI YA WANAWAKE WALIOHUDHURIA KATIKA HAFLA HIYO YA UZINDUZI WA ILANI YA MADAI YA WANAWAKE KATIKA KATIBA MPYA WAKIWA NA MABANGO MBALIMBALI



 

 

 

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA mh ANGEL KAIRUKI AKIKATA UTEPE WA KUZINDUA KITABU CHA ILANI YA MADAI YA WANAWAKE KATIKA KATIBA MPYA LEO JIJINI DAR ES SALAAM



maelezo kidogo

    wanawake nchini leo wamezindua ilani ya ya madai ya wanawake wa tanzania juu ya katiba mpya mgeni rasmi akiwa ni naibu waziri wa katiba na sheria mh ANGELA KAIRUKI ambapo naibu huyo tukio ambalo limeandaliwa na mtandao wa jinsia tanzania

    naibu waziri amewashukuru watanzania wanawake kwa kuonyesha umoja wao katika kutaka katiba nzuri ambapo amewasihi kuwa wazidishe umoja zaidi,



No comments: