Wednesday, May 15, 2013

HATIMAYE KILE KIFAA CHA KULIPIA KODI KIELEKTRONIKI CHAZINDULIWA RASMI LEO:: WAFANYABIHASHARA LAKI MBILI KUANZA KUKITUMIA

 

Kamishna wa Kodi za Ndani Bw, Patrick Kassera Akizungumza Machache ya Kumkaribisha Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA ili aje kuzindua Kifaa hicho.

Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade akizungumza wakati alipokuwa anazindua kifaa cha kulipia Kodi Kielectroniki kijulikanacho kama EFD ambapo amesema kuwa wanatarajia wafanyabihashara laki mbili kuanza kutumia kifaa hicho, na ameongeza kuwa Mashine hizo zitakuwa na Betri itakayomwezeha Mfanyabihashara kutumia bila Umeme.

Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade akifurahia Mashine hiyo mara baada ya Kuzindua rasmi leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam

Mwelimishaji akionyesha namna kifaa hicho kinavyofanya kazi

Hawa ni Baadhi ya wadau kutoka TRA pamoja na wafanyabihashara waliohudhuria katika Uzinduzi huo.

No comments: