BAADHI YA WASAMARIA WEMA WAKISAIDIA KUTOA MSAADA YA KUNYANYUA MWILII HUO KWA AJILI YA KUPELEKWA MAHALI HUSIKA |
POLISI WALIOFIKA WAKISAIDIANA NA WANANCHI KUHIFADHI MWILI WA MTU HUYO |
mtu huyo ambaye alikuwa anatembea kawaida lakini ghafla alianguka bila kuguswa na mtu yeyote na watu walipomfwata walikuta tayari amefariki dunia
ni tukio la kusikitisha sana kwani alikuwa mtu wa kawaida tu ametoka kazini lakini mauti yakamkuta akiwa anatembea
WANANCHI MAMIA WALIOJITOKEZA KUSHANGAA TUKIO HILO LA HUZUNI SAA LILILOTOKEA MAENEO YA POSTA MTAA WA SAMORA JIONI YA LEOMWILI WA MAREHEMU HUYO UKIWA NDANI YA GARI LA POLISI TAYARI KUONDOLEWA MAENEO HAYO
hadi tunarusha habari hii bado hatujajua alikuwa anasumbuliwa na nini
No comments:
Post a Comment