Wednesday, May 29, 2013

KIUNGO MKABAJI WA NIGERIA MWENYE MBAVU ZA 'KUTISHA' ATUA SIMBA SC


IMEWEKWA MEI 29, 2013 SAA 4:00 ASUBUHI
 Kiungo mkabaji kutoka Nigeria, Izdore Modebe Ugochukwu aliyeruka hewani kupiga kichwa katika mazoezi ya Simba SC yaliyoanza rasmi leo kujiandaa na Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame nchini Sudan mwezi ujao. Kiungo huyo ametokea klabu ya Udense FC ya Benin kuja kufanya majaribio Simba SC na kabla ya hapo amesema alichezea timu ya Ila ya kwao, Nigeria.

Kocha mpya wa Simba SC, Alah Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' akitoa maelekezo kwa wachezaji

King Kibaden kazini

Kocha Msaidizi, Jamhuri Kihwelo 'Julio' akimhoji Mnigeria Izdore kabla ya kuanza mazoezi

Cheki vipaji Simba SC...

Issa Rashid 'Baba Ubaya' kushoto akimgeuza mtu...

Izdore akikaba ng'ado kwa ng'ado...

Jamhuri akizungumza na Nassor Masoud 'Chollo'

No comments: