Thursday, May 9, 2013

WAENDESHA MASHTAKA WAKUTANA DAR LEO



MAKAMU WA RAISI WA SHIRIKISHO LA MAMLAKA ZA WAENDESHA MASTAK UKANDA WA AFRICA  YA MASHARIKI AKIFUNGUA MKUTANO WA WAENDESHA MASTAKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO



HAPA MAKAMU UYO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MKUTANO HUO WA SIKU MBILI



maelezo kidogo

waendesha mastaka katika nchi za ukanda wa africa ya mashariki wanakutana jijibi dar es salaam kwa kengo la kujadili jinsi ya kuzuia uhalifu katika nchi hizo

akifungua mkutano huo ambao hufanyika kila mwaka mara moja amesema una lengo la kushirikiana kwa nchi hizo kupambana na uhalifu kama uharamia na ugaidi katika nchi hizo

No comments: