by maasinda blog
Katika Mkutano huo, watoto hao wametoa msaada wa zaidi ya Shilingi Milioni Moja za Kitanzania pamoja na Mafuta ya kuzuia Makali ya Jua kwa walemavu wa ngozi, ambapo wamepata pesa hizo baada ya kuuza vitabu walivyoviandika wenyewe wakiwa shule pamoja na kuuza Fulana walizozitengeneza wenyewe wakiwa Shuleni hapo. Watoto hao kutoka nchi mbalimbali wamesema kuwa Vitabu na fulana zao, nyingi wameziuza nchini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment