NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MH STEVEN MASELLE |
MTANDAO WAKO WA HABARI 24 BLOG UMEENDELEA KTAFUTA MAONI YA WATANZANIA JUU YA SWALA HILO AMBAPO LEO TUMEAMUA KUMTAFUTA MWANASISSA KIJANA NCHINI AMBAYE NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI MH STEVEN MASSELE NA KUTAKA KUJUA YEYE KAMA MJTANZANIA NA MWANASIASA.
AKIZUNGUMZA NA EXAUD MTEI AMBAYE NDIYE MWENYE MTANDAO HUU NAIBU WAZIRI HUYO AMESEMA HAONI TATIZO KATIKA HILO KWANI NI JAMBO JEMA KWA WATANZANIA KULIPA KODI KWA AJILI YA MAENDELEO YA NCHI YAO,AMESEMA KUWA SIO KWELI KUWA JAMBO HILO NI LA KUWAAUNMIZA WATANZANIA KAMA ILIVYOSEMWA NA WATANZANIA HUSUSANI WANASISAS
AMESEMA KITU CHA KUELEWEKA NI KUWA WATANZANIA HAWATAKUWA WAKIKATWA SHILINGI ELFU MOJA KILA SIKU BALI WATAKUWA WANAKATWA SHILINGI 30 PINDI WATAKAPOKUWA WANA SALIO KATIKA SIMU ZAO NA JAMBO HILO LIELEWEKE KUWA LIKO HIVYO NA SIO KAMA WANASIASA WANAVYOLIPOTOSHA
Naomba watanzania waelewe hili kama utakuwa hujalipa hela kwa mwezi mmoja huwezi kulipia kwa mwezi unaokuja ALIELEZA MASELLE
MH MASELLE AMEWAOMBA WATANZANIA KUTOKUWA NA WASIWASI KATIKA KODI HIYO KWANI LENGO LA SERIKALI NI KUWALETEA MAENDELEO WATANZANIA WOTE KWA KUTUMIA KODI ZAO
No comments:
Post a Comment