NDANI YA UKUMBI WA SEMINA WAKISIKILIZA KWA MAKINI MAELEZO KUTOKA KWA WATAALAM WA BIASHARA |
BI FLORA THOMAS MMOJA WA WASHIRIKI HAO KATIKA SEMINA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SEMINA HIYO NA MAFANIKIO ALIYOYAPATA |
BAADHI YA BIDHAA ZILIZOKUWA KATIKA MAONYESHO |
KATIKA MAONYESHO HAYO WAFANYA BIASHARA MBALI MBALI WALIONYESHA BIDHAA ZAO NA KUUZA NJE YA SEMINA HIYO.HAO HAPO NI BAADHI YA WAFANYA BIASHARA WAKIWA KATIKA MAONYESHO |
MWENYEKITI WA MTANDAO HUO BI HAIKA LEWERE AKIKATA UTEPE KUASHIRIA KUFUNGUA SEMINA HIYO MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
HAPA WAKIPEANA HONGERA BAADA YA KUFUNGUA SEMINA HAYO |
TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA TANZANIA BUSNESS WOMEN FOR INTEPRENUASHIP IINAYOJISHUGHULISHA NA MASWALA YA WANAWAKE INAENDESHA MAFUNZO KWA WANAWAKE NCHINI JUU YA NJIA BORA ZA KUFANYA BIASHARA KWA MAFANIKIO
KATIKA MAFUNZO HAYO YENYE LENGO LA KUWAPA MWANGA WANAWAKE JUU YA BIASHARA NA NI JINSI GANI WANAWEZA KUNUFAIKA NA BIASHARA ZAO
BAADHI YA WASHIRIKI WA SEMINA HIYO WAMESEMA KUWA SEMINA HIYO IMEWASAIDIA SANA NA KUWAPA MWANGA MKUBWA WA MAFANIKIO H=JUU YA BIASHARA ZAO,
MWENYEKITI WA TAASISI HIYO BI HAIKA LEWERE AMESEMA LENGO KUBWA LA KUANZISHA MAFUNZO HAYO NI KUWAPA MWANGA WANAWAKE JUU YA BIASHARA NA JINSI YA KUFANIKIWA KATIKA KAZI WANAZOFANYA.
AMESEMA KUWA BIASHARA INAHITAJI UJASIRI NA KUJITOA HIVYO NI LAZIMA WANAWAKE WAKAZANE SANA KATIKA BIASHARA ILI KUFANIKIWA.
No comments:
Post a Comment