Saturday, August 17, 2013

HIKI NDICHO ILICHOKIFANYA YANGA SASA HIVI HUKO TAIFA



        Timu ya yanga leo imeanz vizuri na kuonyesha watanzania kuwa mwaka huu imejipanga kulitetea kombe la ligi kuu ya tanzania baada ya kuichapa timu ya azamu katika kombe la ngao ya jamii mchezo ambao huashiria kufunguliwa kwa ligi kuu na kunyakua kikombe siku ya leo 

        Bao pekee lililofungwa dakika ya pili ya mchezo na mshambuliaji makini SALUM TELELA ndio lilitosha kuilaza azam ikiwa na hasira kali katika mchezo ambao timu zote zimeonyesha mchezo wa hali ya juu ambapo hadi kipiondi cha kwanza kina malizika yanga ilikuwa inaongoza kwa bao hilo moja

            Kipindi cha pili kilianza huku azam ikitaka kusawazisha goli jambo ambalo halikufanikiwa kwani hadi kufikia dakika tisini yanga ikaibuka mshindi wa goli moja kwa bila hivyo kutangazwa mabingwa wa kombe la ngao ya hisani.


No comments: