Saturday, August 24, 2013

LIGI KUU BARA IMEANZA HIVI,HAYA NDIO MATOKEO YA YANGA NA WAFUNGAJI WAKE


 

\




       Yanga kwa mara nyingine yawafurahisha mashabiki waliojaa uwanjan baada ya kuifunga ashant united mabao 5-1
 

        kipindi cha kwanza kiliisha kwa yanga kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao moja lililofungwa na tegete dk ya 10 tuuu ya mchezo
kipindi cha pili mikikimikiki ya yanga ndio yaliozaa bao la msuva dk ya 48
ikifuatiwa na Tegete tena dk 58 na niyonzima dk ya 74
 

        Dk ya 90 ashant walipata bao la kifutia machozi kupitia kwa mchezaji wao shabaan juma
 

       Halaf Nizar akafunga goli la 5 dk ya 90
MPAKA MPIRA KUISHA
YANGA 5-1 ASHANTI UNITED
 

      kinala wa ufingaji akiwa ni jerson tegete kwan aliwatikisa mara mbili
Tegete dkk 10, 58
Msuva dkk 48
Niyonzima dkk 74
Nizar dkk 90

No comments: