MSEMAJI WA SHINDANO HILO BI SAKINA LYOKA MAARUFU KAMA MAMA WA NGARINGARI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAM MUDA MFUPI ULIOPITA |
Wakizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam msemji wa shindano hilo SAKINA LYOKA na mtangazaji wa kipindi hicho BABUU WA KITAA wamesema kuwa kipindi cha bibi bomba kimetimiza mwaka wa pili sasa ambapo mshindi wa mwaka huu atanyanyuka na mtonuo amba pesa kiasi cha shilingi milion 12 huku wengine wakipewa kifuta jasho ambacho hawakuwa tayari kukitaja kwa sasa.
Wameongeza kuwa pesa atakazopewa mshindi zitamsaiidia katika maswala mbalimbali ikiwemo shughuli za ujasiriamali na mambo mengine kama hayo.shindano hilo limejichukulia umaarufu kutokana na ucheshi wa washiriki katika shindani hilo
Majina ya washiriki waliofanikiwa kuingia bibi bomba tano bora ni
1-BI TABITHA TUNGARAZA
2-BI CHIKU OMARI
3-BI MGENI IBRAHIMU
4-BI VERONICA KAYOMBO
5-BI AGATHA MAHINYA
MTANGAZAJI WA SHINDANO HILO LA BIBI BOMBA BABUU WA KITAA |
MABIBI BOMBA AMBAO WAMEFANIKIWA KUINGIA TANO BORA WAKIWA WANATOA BURUDANI MBELE YA WANAHABARI |
No comments:
Post a Comment